Numbers 24:18-20


18 aEdomu itamilikiwa,
Seiri, adui wake, itamilikiwa,
lakini Israeli atakuwa na nguvu.

19 bMtawala atakuja kutoka kwa Yakobo
na kuangamiza walionusurika katika mji.”

Ujumbe Wa Mwisho Wa Balaamu

20 cKisha Balaamu akawaona watu wa Amaleki, na kutoa ujumbe wake: “Amaleki ilikuwa ya kwanza miongoni mwa mataifa,
lakini mwisho wake itaangamizwa milele.”

Copyright information for SwhKC